
OPEN MIC SESSION
February 22 @ 6:00 pm
Free
-
Join us for an electrifying Open Mic Session at Nafasi Art Space on 22nd February 2025 at 6:00 PM sharp!
This is your chance to take the stage and showcase your talent—whether it’s poetry, spoken word, music, rap, storytelling, comedy, or any other creative expression.We have only 10 slots available, so apply as soon as possible to secure your spot! Come share your voice, connect with fellow artists, and experience an evening of raw creativity and powerful performances.
📅 Date: 22nd February 2025
⏰ Time: 6:00 PM sharp
📍 Location: Nafasi Art SpaceDon’t miss this opportunity to shine—sign up now!
*************************************************
Jiunge nasi kwa Open Mic Session ya kusisimua hapa Nafasi Art Space tarehe 22 Februari 2025 saa 12:00 jioni kamili! Hii ni nafasi yako ya kupanda jukwaani na kuonesha kipaji chako—iwe ni ushairi, muziki, rap, ucheshi, hadithi, au sanaa yoyote ya maonesho.Tuna nafasi 10 pekee, hivyo jitokeze mapema na hakikisha unapata nafasi yako! Kuja kushiriki, kukutana na wasanii wenzako, na kufurahia usiku wa ubunifu na maonesho yenye hisia kali.
📅 Tarehe: 22 Februari 2025
⏰ Muda: Saa 12:00 jioni kamili
📍 Mahali: Nafasi Art SpaceUsikose fursa hii ya kung’ara—jiandikishe sasa!
#openmic#hipphopopenmic#nafasiartspace #letestorinafasiartspace #mchiriku #singeli #daressalaam #tukutanenafasiartspace #battle #swissdevcoop #swissembassytz