Loading Events

CALL FOR ARTISTS

August 30 @ 8:00 am - 5:00 pm

Venue

Nafasi Art Space
Nafasi Art Space, Dar es salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0757820426
View Venue Website

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Date:
August 30
Time:
8:00 am - 5:00 pm
Event Categories:
,

Are you an artist rooted in tradition or reimagining it for today?
Kizamani Kisasa is calling on both veteran and emerging artists to showcase work that bridges the traditional and the contemporary.
We’re seeking bold, thoughtful pieces from painting and sculpture to mixed media, fashion, and digital forms.
📩 Send your work to: nafasigalleries@gmail.com

The background photo of this poster is a sketch drawn by @brow.nboots at Kariakoo market and exhibited at Nafasi Art Space during the Storytelling in Amber exhibition

#KizamaniKisasa #SanaaYaJadiNaKisasa #CallForArtists #EastAfricanArt #NafasiGalleries #SanaaMseto #swissembassytz #swissdevcoop #norwaytz

————————————————————————————————

Je, wewe ni msanii unayeendeleza jadi au unaiangazia upya kwa mtazamo wa kisasa?
Kizamani Kisasa inawaalika wasanii wakongwe na chipukizi kuwasilisha kazi zinazounganisha mila na ubunifu wa kisasa.
Tunatafuta kazi za kisanii zenye ujasiri na fikra pevu kuanzia uchoraji, uchongaji, media mchanganyiko, mitindo hadi sanaa ya kidijitali.
📩 Tuma kazi zako kwa: nafasigalleries@gmail.com

Picha ya nyuma ya bango hili ni mchoro uliochorwa na @brow.nboots kwenye soko la Kariakoo na kufanyiwa maonyesho Nafasi Art Space kwenye Exhibition ya Storytelling in Amber.

#KizamaniKisasa #SanaaYaJadiNaKisasa #CallForArtists #EastAfricanArt #NafasiGalleries #SanaaMseto #swissembassytz #norwaytz #swissdevcoop