Loading Events

  • This event has passed.

MIDUNDO CHIPUKIZI

September 26 @ 7:00 pm

Free

Venue

Nafasi Art Space
Nafasi Art Space, Dar es salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0757820426
View Venue Website

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Date:
September 26
Time:
7:00 pm
Cost:
Free
Event Category:
  • Midundo Chipkizi | Wikiendi Live! 🎶

    This Friday, we’re shining the spotlight on @priscahillonga — a rising Tanzanian artist whose sound moves with energy and soul. 🌟
    Singer, rapper, guitarist — Prisca brings together Hip Hop, R&B, and Reggae with an electrifying stage presence. Performing with her own band, she’s lit up Dar es Salaam’s music scene and festivals across the city. Currently a student at the Action Music Academy, her music carries powerful messages of self-love, empowerment, and spirituality. ✊🏾💫

    📌 Don’t miss Prisca live at Nafasi Art Space during Wikiendi Live!
    🗓 Friday, 26 September
📍 Nafasi Art Space

    Come through and catch the future of Tanzanian music — fresh, fearless, and full of fire! 🔥
    #MidundoChipkizi #WikiendiLive #PriscaHillonga #DarEsSalaamMusic

    ***
    🎶 Midundo Chipkizi | Wikiendi Live! 🎶

    Ijumaa hii tunamulika kipaji kipya @priscahillonga — msanii chipukizi wa Kitanzania mwenye sauti ya kipekee na jukwaa lenye nguvu. 🌟
    Akiwa mwimbaji, rapper na mpiga gitaa, Prisca anachanganya mitindo ya Hip Hop, R&B na Reggae kwa upepo wa kipekee. Akiwa na bendi yake, ameshiriki kwenye tamasha mbalimbali hapa Dar es Salaam. Kwa sasa ni mwanafunzi wa Action Music Academy, na kupitia muziki wake anasambaza ujumbe wa kujipenda, uwezeshaji na maisha ya kiroho.✊🏾💫

    📌 Usikose kumuona Prisca mubashara katika Nafasi Art Space kwenye Wikiendi Live!
    🗓 Ijumaa, 26 Septemba
📍 Nafasi Art Space

    Njoo ushuhudie mustakabali wa muziki wa Kitanzania — safi, jasiri na moto kabisa! 🔥
    #MidundoChipkizi #WikiendiLive #PriscaHillonga #MzikiWaBongo