
- This event has passed.
CALL FOR ARTISTS
October 10 @ 8:00 am - 5:00 pm

TUKUTANE DAR 2025 – Cross-Border Collaborations for the Growth of the Arts Sector
📍 Dar es Salaam | 📅 3–9 November 2025
Open call for artists aged 18 to 30 years! Be part of TUKUTANE DAR Arts Week and showcase your creative work. Up to 6 artists will be awarded production/presentation grants of up to TZS 1,000,000 each and present their projects during the event’s symposium.
📧 Submit your concept proposal under the theme “INVISIBLE CONNECTION”, including a budget, artist statement, and bio through the link in bio.
Selected artists will be required to create an original artwork sized 100cm x 100cm.
🗓 Application deadline: 10 October 2025
🗓 Production period: 15–30 October 2025
Our aim is to foster a vibrant, inclusive, and sustainable arts and culture sector that transcends borders and connects communities.
🌐 Organised by @nafasiartspace
🤝 Supported by @norwayembassytz and @swissembassyintz
************************************************************
TUKUTANE DAR 2025 – Ushirikiano Unaovuka Mipaka kwa Ukuaji wa Sekta ya Sanaa
📍 Dar es Salaam | 📅 3–9 Novemba 2025
Tunafungua maombi kwa wasanii wenye umri kati ya miaka 18 hadi 30! Jiunge na TUKUTANE DAR Arts Week na uonyeshe kazi zako za ubunifu. Wasanii hadi 6 watapewa ruzuku ya uzalishaji/maonyesho ya hadi TZS 1,000,000 kwa kila mradi, na kushirikisha miradi yao kwenye symposium ya tukio.
📧 Tuma mapendekezo ya wazo lako la sanaa lenye maudhui “INVISIBLE CONNECTION”, pamoja na bajeti, tamko la msanii, na wasifu wako kupitia linki iliyopo kwenye bio.
Wasanii watakaochaguliwa watahitajika kutengeneza kazi halisi ya sanaa yenye ukubwa wa 100cm x 100cm.
🗓 Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi: 10 Oktoba 2025
🗓 Muda wa uzalishaji: 15 – 30 Oktoba 2025
Lengo letu ni kukuza sekta ya sanaa na utamaduni hai, jumuishi, na endelevu, inayovuka mipaka na kuunganisha jamii.
🌐 Imeandaliwa na @nafasiartspace
🤝 Kwa udhamini wa @norwayintz na @swissembassyintz