ARTISTS HANGOUT
March 13 @ 3:00 pm - 5:00 pm
Free
Join us for an Artist Hangout with our Artists in Residence at Nafasi Art Space. β¨
MeetΒ @koalamuzikiΒ , a musician and songwriter.
@skecha___Β , a visual artist and illustrator who works with comics.
During this hangout, they will share their artistic journeys, creative processes, and experiences as artists. You will also have the opportunity to ask questions and engage in an open conversation about their work and artistic practices.
π
13 March 2026
β° 3:00 PM β 5:00 PM
π Nafasi Art Space
Come hang out, learn, and connect with the artists.
βββββββββββββββββββββββββββββββ
Karibuni kwenye Hangout pamoja na wasanii wetu wa makazi ya muda hapa Nafasi Art Space. β¨
Kutana naΒ @koalamuzikiΒ ,mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo.
pamoja naΒ @skecha___Β , msanii wa sanaa za uoni na anayejishughulisha na utengenezaji wa comics.
Katika hangout hii watazungumzia safari ya sanaa zao, uzoefu wao kama wasanii, pamoja na mchakato wa ubunifu katika kazi wanazofanya. Pia utapata nafasi ya kuuliza maswali na kujifunza zaidi kuhusu kazi zao za sanaa.
π
13 Machi 2026
β° Saa 9:00 β 11:00 jioni
π Nafasi Art Space
Karibuni sana tuje kuhangout, kujifunza na kubadilishana mawazo na wasanii.
#nafasiartspaceΒ #artistinresidenceΒ #swissembassytzΒ #norwaytz