lete stori
April 17 @ 7:00 pm
Free
Washairi na wanamuziki mpo!!! 🎤✨
Mwezi huu kwenye Lete Stori tunawaletea wasanii wawili mahiri—wenye upekee mkubwa katika utunzi na namna wanavyocheza na maneno hadi kuyafanya yawe na ladha tamu ya kufurahia.
Tutaanza mapema saa 12 jioni
đź“… Tarehe: 17
📍 Mikovheni B eyasi road Nafasi Art Space
Mziki mzuri kitoka kwa @koalamuziki na safari yake pia mashairi makali kutoka kwa @dianagadsonlaizer_
Usikose! Karibu tushuhudie sanaa ya maneno kwa ubora wake. 🎶🔥
*********************************************************
Poets and musicians, where are you at? 🎤✨
This month at Lete Stori, we’re bringing you two incredible artists—each with a unique mastery of storytelling, crafting words into powerful, rich, and captivating experiences.
We kick off early at 6:00 PM
đź“… Date: 17th
📍 Mikovheni B, Eyasi Road, Nafasi Art Space
Enjoy amazing music by @koalamuziki as they share their musical journey, alongside powerful poetry performances from @dianagadsonlaizer_
Don’t miss out! Come experience the beauty of words in their finest form. 🎶🔥