The Création Africa Fest returns, bringing together artists, collectives, and cultural voices for a day of music, movement, storytelling, and so much more!
This year, we continue to showcase the incredible work of Création Africa partners while opening the space for new collaborations, conversations, and future possibilities.
Expect powerful collaborations:
Ona Stories × Mkuki na Nyota
Ajabu Ajabu × Altaer
Kandoro Baba Hub × Singeli Movement
DCMA × Lumumba Theatre Group
Déjà Vu Studios × Rangi Gallery
Punchline × ASEDEVA
Jafary Bandukine × Prisca Hilonga
From live performances to immersive experiences, this is where creativity meets community.
Come through. Connect. Celebrate. Create.
Supported by @franceintanzania and @af_dar under FEF Création Africa dekqpwdnmkewm
📍 Nafasi Artspace
📅 18th April 2026
⏰ From 3PM till late
🎟 FREE ENTRY
_______________________________
[CREATION AFRICA FEST 2026] Tukisherehekea ubunifu wa Kitanzania katika sura zake zote.
Création Africa Fest inarejea tena, ikiwaleta pamoja wasanii, vikundi vya ubunifu, na sauti za utamaduni kwa siku moja ya muziki, harakati, simulizi, na mengi zaidi!
Mwaka huu, tunaendelea kuonesha kazi za kuvutia za washirika wa Création Africa huku tukifungua nafasi kwa ushirikiano mpya, mazungumzo mapya, na fursa za siku zijazo.
Tarajia ushirikiano wa kipekee:
Ona Stories × Mkuki na Nyota
Ajabu Ajabu × Altaer
Kandoro Baba Hub × Singeli Movement
DCMA × Lumumba Theatre Group
Déjà Vu Studios × Rangi Gallery
Punchline × ASEDEVA
Jafary Bandukine × Prisca Hilonga
Kuanzia maonyesho ya moja kwa moja hadi uzoefu wa kipekee, hapa ndipo ubunifu unakutana na jamii.
Njoo. Ungana. Sherehekea. Unda.
Kwa ufadhili wa @franceintanzania na @af_dar kupitia FEF Création Africa
📍 Nafasi Artspace
📅 18 Aprili 2026
⏰ Kuanzia saa 9 alasiri hadi usiku
🎟 KIINGILIO NI BURE

