LETE STORI
October 31 @ 7:00 pm
Free
TUKUTANE NAFASI!
From the streets of Dar to the rhythm of the dance floor, letβs celebrate the sounds and stories shaping our culture.
Join Matua, D Smile & Ally Tall (AT) at Lete Stori for an evening of music, movement, and real conversations about their artistic journeys.
π
Saturday, 31 October 2026
β° 7 PM
π Nafasi Art Space, Mikocheni B, Dar es Salaam
ποΈ Free Entry | Free snacks & drinks
Come for the music, stay for the stories. Tukutane Nafasi!
********
TUKUTANE NAFASI! π₯πΆ
Kutoka mitaa ya Dar hadi kwenye midundo inayotikisa jukwaa! ππΎπΊπΎ Jiunge nasi Matua, D Smile na Ally Tall (AT) katika Lete Stori, tukizungumzia safari zao za kisanii, muziki na utamaduni unaotuunganisha.
π€ Lete Stori: Dialogue, Jam Session & Live Music
π
Jumamosi, 31 Oktoba 2026
β° Saa 1:00 usiku (7 PM)
π Nafasi Art Space, Mikocheni B, Dar es Salaam
ποΈ Kiingilio Bure!
π₯€ Vitafunwa na vinywaji vitatolewa bure.
Njoo kwa stori, bakia kwa muziki! β€οΈβπ₯