
- This event has passed.
ARTIST HANGOUT Ft DAMIEN AND AMON
September 15, 2023 @ 4:30 pm
Free
Hello art lovers! Nafasi Art Space is excited to welcome you to an Art-full Friday!
Join us for an artist hangout session with the new visual artists in residence, Amon Majaliwa – a visual artist from Tanzania and Damien McDuffie (@damienmcduffie) – a digital artist and founder of an Augmented Reality App, Black Terminus (@blackterminusar) from United States of America
15 September 2023
04:30 PM
Nafasi Art Space | 8 Eyasi St. Mikocheni B, Dar es Salaam
@norwayintz @swissdevcoop @ignite_cultureea @hevafund @euintanzania @britishcouncil @basata.tanzania
_____________________________
Habari wadau wa sanaa! Nafasi Art Space inayo furaha kukualika katika Ijumaa iliyosheheni sanaa.
Ungana nasi katika majadiliano ya ana kwa ana na wasanii wapya wa makazi ya muda mfupi hapa Nafasi Art Space, Amon Majaliwa – msanii wa sanaa za uoni kutoka Tanzania pamoja na Damien McDuffie – msanii wa kidijitali na mwanzilishi wa Aplikesheni ya Black Terminus (@blackterminusar) kutoka Marekani.
15 Septemba 2023
Saa Kumi na Nusu Alasiri
Nafasi Art Space | 8 Eyasi St. Mikocheni B, Dar es Salaam