Loading Events

  • This event has passed.

Mapping So Far: Open Studio By Marguerite Minnot Thomas

November 28, 2023 @ 6:00 pm - 8:00 pm

Free

Venue

NAFASI ART SPACE
Nafasi Art Space, Dar es salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0757820426
View Venue Website

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Date:
November 28, 2023
Time:
6:00 pm - 8:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Usikose siku ya Jumanne ikiwa ni hitimisho la makazi ya muda mfupi ya msanii wa kupiga picha Marguerite Minnot Thomas (@margotmtmt) ambapo atakua ameanda matokeo ya taifiti yake yenye jina “ Mapping So far..”

Katika kipindi chake hapa NAFASI, msanii Marguerite ameendeleza utafiti wake wa kutengeneza ramani ya ushirikiano pamoja na baadhi ya wasanii na wabunifu wa kitanzania. Maonyesho yake yatahusisha kazi mpya za sanaa ya picha na kuchapa kwa karatasi, kazi ambazo zimeundwa na wasanii wenza wanaotafiti kuhusu utengenezaji wa ramani na mbinu mbalimbali za sauti. Bila kusahau utapata fursa ya kutengeneza ramani yako binafsi.

Usikose! Hakuna kiingilio

🗓️ 28 Novemba 2023

⏰ Saa 12 kamili Jioni

📍Nafasi Art Space | Mikocheni B, Mtaa wa Eyasi

Kwa mawasiliano
[email protected]
+255 757 820 426