- This event has passed.
FEEL FREE GRANTEES 2023 SHOWCASE
March 15 @ 6:00 pm - 9:30 pm
FreeMambo vipi! Nafasi Art Space inapenda kukukaribisha katika maonyesho ya miradi ya sanaa kutoka kwa wanufaika wa ruzuku za Feel Free mwaka 2023.
Fahamu miradi yao, historia za awali pamoja na namna ruzuku ya Feel Free ilivyoweza kuchangia katika utekelezaji wa miradi hiyo.
Ungana nasi tukiwakaribisha Bahati Female Band (@bahatifemaleband), Iringa Boma (@iringa_boma), Vicky Alex (@kibubu_ufinyanzi_tz), Refixit Tz (@refixittz), The Female Footprints (@female.footprints), Emedo Tz (@emedo_emedotz), pamoja na Scolastica Sultan (@ola_delicious).
🗓️ 15 Machi 2024
⏰ Saa Kumi na Mbili Jioni
📍Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es salaam
Mradi wa Feel Free kwa mwaka 2023/24, unasimamiwa na Nafasi Art Space kwa Ufadhili wa Ubalozi wa Switzerland nchini Tanzania (@swissdevcoop) pamoja na Ubalozi wa Kifalme wa Norway nchini Tanzania (@norwayintz).
________________________________________________
Hello! Nafasi Art Space is pleased to invite you to the showcase of the different art projects that were implemented by the beneficiaries of the 2023 Feel Free Grant.
Get to know them, their projects, and how they used the Feel Free grant to implement these projects.
Join us as we welcome, Bahati Female Band (@bahatifemaleband), Iringa Boma (@iringa_boma), Vicky Alex (@kibubu_ufinyanzi_tz), Refixit Tz (@refixittz), The Female Footprints (@female.footprints), Emedo Tz (@emedo_emedotz), pamoja na Scolastica Sultan (@ola_delicious)
🗓️ 15 March 2024
⏰ 06:00 pm
📍 Nafasi Art Space | 8 Eyasi St. Mikocheni B, Dar es salaam
The Feel Free grant program is being implemented by Nafasi Art Space, with support from The Embassy of Switzerland in Tanzania and The Royal Norwegian Embassy in Tanzania
#nafasiartspace #feelfree2024 #daressalaam #tanzania #showcase #exhibition #tukutanenafasiartspace #swissembassytz