
- This event has passed.
TUKUTANE NAFASI – LETE STORI
May 18, 2024 @ 7:00 pm
Free
Karibu Nafasi Art Space tupate burudani pamoja na kusikia zaidi kuhusu safari za wasanii, 20 Percent na Baba Kash.
Katika Tasnia ya mziki wa Bongo fleva ukitaja wanamziki wakubwa waanzilishi wa mziki huu wa kizazi kipya huwezi kukosa kumtaja Abbas Hamis aka 20 Pecent, akiwa na msanii wa singeli Baba Kash. Ni story, mziki na furaha. USIKOSE.
Usikose!! HAKUNA KIINGILIO
Saa 1 kamili Jioni
Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es salaam
****************************************
Welcome to Nafasi Art Space for entertainment and to hear more about the journeys of artists, 20 Percent and Baba Kash.
In the Bongo music industry, if you mention the great musicians who are the pioneers of this generation music, you cannot fail to mention Abbas Hamis aka 20 Pecent, with the singer Baba Kash. It’s story, music and fun. DON’T MISS IT.
Don’t miss it!! NO ADMISSION/ FREE ENTRY
7 o’clock in the evening
Space Art Space | Mikocheni B, Dar es Salaam.