
- This event has passed.
ART SHOWCASE
September 5 @ 6:00 pm
Free
TUNAPOKUA MASKANI SHOWCASE
Karibu kwenye maonyesho ya mwisho ya makazi ya muda kwa Vincent Temu (@vensa_temu ) hapa Nafasi Art Space yenye jina “Tunapokua Maskani” 🏘️
Ni tafakari ya maisha mtaani kupitia uchoraji mubashara, watu, vitu, na hadithi zinazoishi ndani ya kila kona ya jiji.
🗓️ Ijumaa | 5 Septemba 2025
🕕 Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku
📍 Nafasi Art Space, Mikocheni B
Usikose! Hii ni nafasi yako ya kushuhudia uzuri wa sanaa iliyo hai, yenye mizizi na ubunifu wa hali ya juu.
#TunapokuaUkingoni #TunapokuaMaskani #VincentTemu #Exhibition #SanaaYaMtaa #LiveArt #DarEsSalaamArt #NafasiArtSpace #ShooKali #SwahiliArt #ContemporaryAfricanArt 🎭🖌️🏙️
⸻—————————————————————————————
🎭✨ TUNAPOKUA MASKANI SHOWCASE
Experience the final showcase of Vincent Temu (@vensa_temu ) at Nafasi Art Space titled “Tunapokua Maskani” 🏘️
A deep dive into street stories, people, and everyday objects, all captured through live painting and high-level craftsmanship.
🗓️ Friday | 5th September 2025
🕕 6PM – 8PM
📍 Nafasi Art Space, Mikocheni B
Don’t miss it. This is your moment to witness art that is rooted, alive, and powerfully local.
#TunapokuaUkingoni #TunapokuaMaskani #VincentTemu #ArtExhibition #LivePainting #StreetStories #NafasiArtSpace #DarArtScene #ContemporaryArt #MadeInTanzania 🎨🧑🏾🎨🖼️