ARTIST HANGOUT
March 27 @ 3:00 pm - 5:00 pm
Free
Welcome to our Artist Hangout at Nafasi Art Space ✨
Meet @aluamkilindi , a multidisciplinary artist, alongside @xayden_flawless , a Bongo Fleva musician 🎶
Come experience and share in their creative journeys—from where they started to where they are now. You’ll also get a chance to ask questions, learn more, and connect with fellow creatives.
📆 27 march 2026
⏱️ 3:00 pm to 5:00 pm
📍 Nafasi Art Space
Don’t miss this opportunity to connect, learn, and vibe with art! 🔥
***************************************************************
Karibu kwenye Artist Hangout ya wasanii wetu wa makazi ya muda hapa Nafasi Art Space ✨
Kutana na @aluamkilindi , msanii wa fani mbalimbali pamoja na @xayden_flawless , mwanamuziki wa Bongo Fleva 🎶
Njoo ushuhudie na kushiriki safari zao za kisanaa—kutoka walipoanzia hadi walipofikia sasa. Utapata pia nafasi ya kuuliza maswali, kujifunza zaidi, na kuungana na wadau wengine wa sanaa.
📆 27 march 2026
⏱️ saa 9:00 Alasiri hadi Saa11 jioni
📍 Nafasi Art Space
Usikose nafasi hii ya kuconnect, kujifunza, na kufurahia vibe la sanaa! 🔥