ARTIST HANGOUT!!
September 17 @ 2:00 pm - 4:00 pm
Free
ARTIST HANGOUT | MEET, CONNECT, LEARN
Join us at Nafasi Art Space for an inspiring Artist Hangout with our Artist in Residence, Monica Nyanzula.
Come and meet Monica, connect with fellow creatives, and learn more about her artistic journey, ideas, and creative practice. This is a space for conversation, exchange, and building meaningful connections within the creative community.
Date: 17th September 2026
Time: 2:00 PM – 4:00 PM
Venue: Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
Come as you are. Meet, connect, learn.
************************
ARTIST HANGOUT | KUTANA, UNGANA, JIFUNZE
Jiunge nasi Nafasi Art Space kwa Artist Hangout yenye msukumo pamoja na Artist in Residence wetu, Monica Nyanzula.
Njoo ukutane na Monica, ungane na wabunifu wengine, na ujifunze zaidi kuhusu safari yake ya kisanaa, mawazo yake, na namna anavyotekeleza kazi zake za ubunifu. Hii ni nafasi ya mazungumzo, kubadilishana mawazo, na kujenga mahusiano yenye maana ndani ya jumuiya ya wabunifu.
Tarehe: 17 Septemba 2026
Muda: Saa 8:00 mchana – Saa 10:00 jioni
Mahali: Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
Njoo ulivyo. Kutana, ungana, jifunze.
#NafasiArtSpace #ArtistHangout #NafasiAIR #MonicaNyanzula #MeetConnectLearn CreativeCommunity