
- This event has passed.
ARTIST TALK- GRASSROOT COMICS
August 14 @ 3:00 pm - 5:00 pm
Free
Fahamu Kuhusu Komikijamii: Njia Mpya ya Mawasiliano
Mwasilishaji:: Nathan Mpangala ( @nathanmpangala )
Tarehe: Alhamisi, 14 Agosti 2025
Muda: Saa 9:00 alasiri – 11:00 jioni
Eneo: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam
Karibu katika mazungumzo ya wazi yatakayoongozwa na msanii maarufu wa Kitanzania, Nathan Mpangala, atakapotambulisha Komikijamii – njia mpaya kabisa ya mawasiliano ngazi ya jamii.
Ukiwa miongoni mwa wadau wa maendeleo au wabunifu, majadiliano yatakupa mtazamo mpya kuhusu komikijamii namna zinavyoweza kutumika kwa ajili ya utetezi, uelimishaji, uhamasishaji, usuluhishi na zinavyoshirikisha jamii katika ngazi ya chini kabisa.
Mbali na kualika wachoraji komiki, pia tunapenda kukaribisha makundi haya:
– Wachoraji komiki
– Walimu wa sanaa
– Maofisa wa programu wa NGOs
– Mameneja wa wasanii
– Wadau wa maendeleo
– Waandishi habari wa sanaa
– Wadau mbalimbali wa sanaa
Usikose fursa hii ili upate kufahamu uhusiano kati ya komikijamii na jamii.
Hakuna kiingilio | Wazi kwa wote | Wajulishe na wengine
#nafasiartspace #komikijamii #art4change #communityart #artivism #dararts #mchoro #creativeTZ #artsinafrica
⸻————————————————————————————-
Introduction to Grassroots Comics: A New Communication Tool
Presented by: Nathan Mpangala ( @nathanmpangala )
Date: Thursday, 14 August 2025
Time: 3:00 PM – 5:00 PM
Venue: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam
Join us for an Artist Talk led by celebrated Tanzanian artist Nathan Mpangala, as he introduces Grassroots Comics (GCs) – an unfolded powerful visual communication tool.
Whether you’re working in community development or creative expression, this session offers fresh insights into how GCs can be used for advocacy, education, awareness, solutions and community engagement at the very grassroots level.
Highly recommended for:
– NGO program officers
– Visual artists
– Artist managers
– Art teachers
– Education officers
– Activists
– Curators
Don’t miss this opportunity to explore the intersection of art and our lives. Let’s talk GCs that speak from the ground up.
Free entry | Open to all | Tell others.
#nafasiartspace #komikijamii #art4change #communityart #artivis