Artists Workshop
April 15 @ 1:00 pm - 4:00 pm

Welcome to the Shapes and Stuff Workshop, facilitated by @skecha___ , a digital illustrator who will guide in understanding how shapes influence storytelling, emotion, and composition in visual art.
Through this hands on session, participants will explore how to effectively use shape language to communicate ideas and emotions in their creative work.
This workshop is not limited to digital artists traditional artists are also highly encouraged to participate and learn.
📅 Date: 15 April 2026
⏰ Time: 1:00 PM – 5:00 PM
📍 Venue: Nafasi Art Space
____________________________________________________________
Karibu kwenye Shapes and Stuff Workshop
Itakayo ongozwa na msanii @skecha___ , mchoraji wa kidijitali (digital illustrator), ambaye atatuongoza katika kuelewa jinsi maumbo yanavyoathiri hadithi, hisia, na mpangilio wa kazi za sanaa.
Kupitia warsha hii ya vitendo, washiriki watajifunza namna ya kutumia maumbo kwa ufanisi katika kuwasilisha mawazo na hisia kupitia sanaa ya kuona.
Warsha hii haijalengwa kwa wasanii wa kidijitali pekee wasanii wa sanaa za zisizo za kidigitali pia mnakaribishwa sana kushiriki na kujifunza.
📅 Tarehe: 15 Aprili 2026
⏰ Muda: Saa 7 hadi Saa 10 jioni
📍 Mahali: Nafasi Art Space
Karibuni wote kujifunza, kuchunguza, na kupanua uelewa wenu wa kisanaa 🎨