
- This event has passed.
BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE
August 23 @ 7:00 pm
Free
Tunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_natureย gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili โ kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! ๐ ๐ฅ
๐ Tarehe: 23 Agosti 2025
โฐ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea
๐ Kiingilio: BURE
Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka TMK Wanaume hadi albamu zake kali kama Bongo Flava: Swahili Rap from Tanzania na Ubinadamu Kazi. ๐ถ
Tutagusa mistari yenye kugusa maisha ya Watanzania โ afya, changamoto za kijamii, tofauti za tabaka โ na nyimbo zenye mshikizo kama Umoja wa Tanzania na Utajiju. ๐น๐ฟโค๏ธ
๐ Usikose โ hii ni nafasi ya kusikia stori za kipekee, dialogue kali, na kujifunza kutoka kwa historia hai ya muziki wetu! ๐๐ฅ
#letestoriย #nafasiartspaceย #swissembassytzย #norwaytzย #swissdevcoopย #tukutanenafasiartspaceย #performanceย #dialoguesย #vibes
โธปโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ
๐คโจ We are truly honored and excited to welcomeย @sir_natureย a legendary figure in Bongo Flava and Swahili rap โ to bless the stage at Lete Stori this month at Nafasi Art Space! ๐ ๐ฅ
๐ Date: 23rd August 2025
โฐ Time: From 7:00 PM till late
๐ Entry: FREE
Come and experience an exclusive conversation about his musical journey โ from TMK Wanaume to iconic albums like Bongo Flava: Swahili Rap from Tanzania and Ubinadamu Kazi. ๐ถ
Weโll explore lyrics that address Tanzaniaโs social realities โ health, daily struggles, social class differences โ and timeless hits like Umoja wa Tanzania and Utajiju. ๐น๐ฟโค๏ธ
๐ Donโt miss this your chance to hear unique stories, powerful dialogue, and learn from a living legend of our music history! ๐๐ฅ
#letestoriย #nafasiartspaceย #swissembassytzย #norwaytzย #swissdevcoopย #tukutanenafasiartspaceย #performanceย #dialoguesย #vibes