- This event has passed.
BRING ART TO LIFE WITH DANIEL MCDUFFIE
October 11, 2023 @ 5:30 pm - 7:30 pm
FreeStep into a world where reality and imagination collide!
Join us on October 11th at Nafasi Art Space for an extraordinary AR exhibition featuring the incredible artist-in-residence, Damien McDuffie (@wordxlife), founder of Black Terminus AR (@blackterminusar).
Prepare to be amazed as art comes to life before your eyes! Don’t miss “Bringing Art To Life” An Augmented Reality Exhibition.
11 October 2023 | 05:30 pm EAT
Nafasi Art Space
__________________________________________
Karibu katika ulimwengu ambapo uhalisia na nadharia vinakutanishwa!
Jiunge nasi tarehe 11 Oktoba hapa Nafasi Art Space kwa maonyesho ya ajabu ya AR yakiwa na msanii mahiri, Damien McDuffie (@wordxlife), mwanzilishi wa Applikesheni ya Black Terminus AR (@blackterminusar).
Jiandae kushangazwa na sanaa inayojitokeza mbele ya macho yako! Usikose maonyesho haya
11 Oktoba 2023 | Saa Kumi na Moja na Nusu Jioni.
Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es salaam
#SanaaYaAR #blackterminusar #MaonyeshoNafasi #ARArtistry #NafasiExhibition #artistinresidence #arexhibition #augmentedreality #daressalaam #tanzania