- This event has passed.
LIVE MUSIC CONCERT
November 16, 2024 @ 6:00 pm - 11:30 pm
Jiunge nasi kwenye shoo kali ya Mziki na Maarifa itakayofanyika Nafasi Art Space kuanzia saa 1 usiku! Tukio hili litakusanya wasanii wenye vipaji vya hali ya juu wanaoshindana kwa nafasi ya kuwa nyota inayokuja. Usikose kujionea na kujua nani ataibuka mshindi wa shindano hili.
Fuatilia safari ya Mziki na Maarifa kwenye mitandao ya kijamii na ungana nasi kusherehekea vipaji, mabadiliko chanya, na umoja wa vijana. Tukio hili limeletwa kwako na Nafasi Art Space, Tanzania Bora Initiative, na East Africa Radio kwa msaada wa Umoja wa Ulaya.