
DHAHABU FRIDAY
July 11 @ 6:00 pm
Free
Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸
🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi!
📍 Nafasi Art Space
🗓️ Tarehe 11 Julai
⏰ Kuanzia saa 12 jioni mpk baadae
🎟 Kiingilio ni BURE!