
- This event has passed.
DHAHABU FRIDAY
September 12 @ 7:00 pm - 11:30 pm
Free
Karibu Dhahabu Friday!
Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! ππ·πΈ
Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! π§π₯
πΊπΎππΎ Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi!
π€ Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha!
π Nafasi Art Space
ποΈ Tarehe 12 Septemba 2025
β° Kuanzia saa 1 jioni mpaka baadaye
π Kiingilio ni BURE!
Usikose! π₯π