
- This event has passed.
DHAHABU FRIDAY
October 10 @ 7:00 pm
Free
Karibu Dhahabu Friday!!
Tulio la kimuziki la kilejendari, likukuletea ladha ya muziki wa kizamani kutoka kila kona ya dunia masanturi na chimbuko la miziki mizuri.ππ·πΈ
Bila kumuacha DJ Seche ambaye atakuwepo kutuburudisha mpaka asubuhi.π§π₯
πΊπΎππΎ Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi!
π€ Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha!
π Nafasi Art Space
ποΈ Tarehe 10 Oktoba 2025
β° Kuanzia saa 1 jioni mpaka baadaye
π Kiingilio ni BURE!
Usikose! π₯π
βΈ»βββββββββββββββββββββββββββββ
πΆβ¨ Welcome to Dhahabu Friday!
A legendary musical session bringing you the finest flavors of vintage music from across the world roots, rhythms, and the origins of beautiful sound.ππ·πΈ
And of course, DJ Seche will be there to keep us dancing till morning.π§π₯
πΊπΎππΎ Enjoy Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country, and more!
π€ The night will also feature Karaoke and fun games to keep the vibes alive!
π Nafasi Art Space
ποΈ 10th of October 2025
β° From 7 PM till late
π FREE ENTRY!
Donβt miss out! π₯π
#nafasiartspaceΒ #swissembassytzΒ #norwaytzΒ #swissdevcoopΒ #norwayembassytzΒ #johnkitimeΒ #djsecheΒ #dhahabufriday