
- This event has passed.
DRAWING FROM LIFE- ART WORKSHOP
August 12 @ 2:00 pm - 5:00 pm
Free
Karibu kwenye warsha ya kipekee ya uchoraji @nafasiartspace!
Njoo ujifunze, uconnect na usherehekee sanaa pamoja na wasanii wenzako 🧑🏾🎨👩🏽🎨
Warsha hii itakuwa ikiongozwa na Vincent Temu ( @vensa_temu ) katika toleo la pili la “Drawing from Life” ✏️🖼️
🗓️ Jumanne | 12 Agosti 2025
⏰ Saa 8 mchana hadi saa 11 jioni
📍 Nafasi Art Space
Usikose nafasi hii ya kujifunza kutoka kwa mchoraji bingwa na kukuza ujuzi wako wa kuchora kutoka kwa maisha halisi! 💥
#WarshaYaSanaa #DrawingFromLife #VincentTemu #NafasiArtSpace #SanaaTanzania 🖌️🧡