
DYEING WITH NATURAL PIGMENTS SHOWCASE
October 9 @ 6:00 pm - 8:30 pm
Free
After her residency at Nafasi Art Space, our artist Martina Gonzalez @martina.archived invites you to her final showcase on Thursday, 9th October at 6PM here at Nafasi Art Space.
π Free Entry | π΄ Snacks available
Come celebrate art with us!
ββββββββββββββββββββββββββββββββ
Baada ya kukaa kwenye makazi ya muda hapa Nafasi Art Space, msanii wetu Martina Gonzalez @martina.archived anakukaribisha kwenye onyesho lake la mwisho siku ya Alhamisi, tarehe 9 Oktoba saa 12 jioni hapa Nafasi Art Space.
π Kiingilio Bure | π΄ Vyakula vidogo vitakuwepo
Karibu tufurahie sanaa pamoja!