- This event has passed.
END OF ARTIST RESIDENCE
December 6, 2024 @ 6:00 pm - 9:00 pm
Baada ya mwezi mzima wa makazi ya muda hapa Nafasi Art Space, msanii mahiri kwenye kupiga ngoma ๐ฅ,ย @andi_stecherย , anaungana na bendi kutoka Tanzania yenye ladha ya mchiriku iitwayo Masome & Hapotei Band (@mosamtz9ย )๐ถ, kutumbuiza kwenye jukwaa. ๐บ๐พ๐๐พ๐ฅ
๐๏ธ- 06/12/2024 Ijumaa
โฐ- Saa 12 jioni mpaka saa 3 Usiku
๐- Mikocheni B Nafasi Art Space
************************************************
After a whole month of residency at Nafasi Art Space, the talented drummer ๐ฅย @andi_stecherย joins forces with a Tanzanian band known for their Mchiriku vibe, Masome & Hapotei Band (@mosamtz9ย )๐ถ, for a thrilling stage performance. ๐บ๐พ๐๐พ๐ฅ
๐๏ธ- 06/12/2024 Friday
โฐ- 6pm- 9pm
๐- Mikocheni B Nafasi Art Space