FEEL FREE GRANT INFO SESSION
February 2 @ 10:00 am - 12:00 pm
Free
Nafasi Team will be at Nafasi Art Space for an Information Session on the Feel Free Incubation Grants.
The session will provide clear guidance on eligibility criteria, funding objectives, and the full application process, as well as an opportunity to ask your questions.
π 02.02.2026
β± 10:00 AM β 12:00 PM
π Nafasi Art Space
Calling all artists, creatives, and arts organizations, see you there!
Kwa udhuriaji wa online link kwenye bio yetu
ββββββββββββββββββββββββββββββββ——————-
Timu ya Nafasi itakuwa Mwanza kwaajili ya kikao cha kutoa taarifa kuhusu Ruzuku ya Feel Free.
Kikao kitatoa ufafanuzi wa kina juu ya vigezo vya ushiriki, malengo ya ruzuku, na mchakato mzima wa kuomba ufadhili, pamoja na nafasi ya kuuliza maswali yako yote.
π 02.02.2026
β± Saa 4:00 asubuhi β Saa 6:00 mchana
π Nafasi Art Space
Wasanii, wabunifu, na mashirika ya sanaa karibuni sana!
For the online meeting join the link in the bio
#feelfreegrant2026Β #nafasiartspaceΒ #arttransparentΒ #swissyembassytzΒ #norwaytz