- This event has passed.
FEEL FREE INCUBATION GRANT 2024 ONLINE INFO SESSION
February 21, 2024 @ 3:00 pm - 4:00 pm
Free‼️‼️Usikose fursa nyingine adhimu ‼️‼️
Ungana nasi tarehe 21 Feb 2024 katika Warsha ya pili itakayofanyika kupitia Google meeting & Instagram live ikilenga kuelezea taarifa muhimu kuhusu mfuko wa ufadhili “FEEL FREE INCUBATION GRANT 2024.” Pia, fursa nyingine ya kujibu maswali kwa wote waliopata changamoto katika kutuma maombi.
Wito wa kutuma maombi FEEL FREE INCUBATION GRANTS 2024 bado upo wazi hadi 15.03.2024. Endelea kutuma na kushare wito huu kwa marafiki na wadau mbalimbali wa sanaa nchini Tanzania. Tembelea tovuti ya Nafasi Art Space au Kurasa za jamii (@nafasiartspace) kupata fomu.
Jisajili kupitia: https://forms.gle/5jXBH6utyLtyvrv19
Kwa Mawasiliano:
[email protected] cc [email protected]
+255 757 820 426 (TEXT/WHATSAPP/CALL)
Fika ofisi za Nafasi Art Space, Eyasi Road, Mikocheni B, Dar es Salaam.