- This event has passed.
FEEL FREE INFO SESSION
February 8, 2024 @ 3:00 pm - 5:00 pm
Tunayofuraha kuwakaribisha wote Nafasi Art Space kwa kipindi maalumu cha maswali na majibu kuhusu fursa ya ufadhili kupitia mfuko wa ruzuku wa FEEL FREE Grants Programme. Utakaohusisha kujadili kwa kina, kujibu maswali uliyo nayo na kuelezea vigezo mbambali vitavyozingatiwa kuwezesha wasanii, taasisi na mashirika ya Sanaa na utamaduni kunufaika na ruzuku hii ya awamu ya nne ya mfuko wa “FEEL FREE Grant & Incubation Program 2024.”
08 Februari 2024
9 Alasiri- 11 Jioni
Nafasi Art Space, Mikocheni B
Waweza kuendelea kutuma maombi kupitia tovuti ya Nafasi Art Space au kupitia BIO ya Nafasi Art Space katika kurasa za jamii. mwisho wa kuwasilisha maombi ni 15.03.2024
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua Pepe: [email protected]
Kipindi hiki pia kitaruka mubashara kupitia ukurasa wa Instagram @nafasiartspace
…………………
Join the Nafasi Art Space team for the 2024 FEEL FREE Grant information session. They will share and discuss in detail, answer questions you have and show you why and how to apply for the fourth cohort of the FEEL FREE Grant & Incubation Program 2024.
08 February 2024
3pm-5pm
Nafasi Art Space, Mikocheni B
Kindly visit our Nafasi Art Space website to learn more about the criteria and eligibility requirements before applying through the link on our Instagram BIO. The deadline to apply is 15 March 2024.
For more information about the FEEL FREE GRANT AND INCUBATION PROGRAMME contact:
E-mail: [email protected]
NB. This session will also be live on Instagram @nafasiartspace
#tukutanenafasiartspace #art #FeelFree2024 #africanart #artlovers #tanzania #daressalaam #perfomances #artopportunity #artistgrant