- This event has passed.
JAM SESSION & LIVE MUSIC
November 30, 2024 @ 7:00 pm - 10:00 pm
FreeKaa tayari kwa Wasanii tunaokuletea kwenye Lete Stori – 30 Novemba!
🌟 Dunga @officialmandugudigital : Msanii na mtayarishaji mahiri aliyechangia kwa kiasi kikubwa katika muziki wa kizazi kipya kama Bongo Fleva na Hiphop. Akitengeneza hit kama “The Bounce” akishirikiana na Joh Makini, Harmonize, na wengine, Dunga ni gwiji wa kubuni sauti za kisasa zenye ladha ya Kiafrika. 🎶
🔥 Frida Amani @fridaamaniofficial : “Madam President” wa rap! Msanii, mwandishi wa nyimbo, na mtetezi wa haki za wanawake, Frida anatumia muziki wake kama chombo cha kuwahamasisha wanawake na kuleta mabadiliko. Nyimbo kama “Madam President” zimempa nafasi ya kipekee katika muziki na vyombo vya habari. 🎤✨
🎶 Jiunge nasi jumamosi hii kwenye Lete Stori tukifanya mazungumzo, burudani, na vibes za kipekee..!!
📅 Lini: 30 Novemba
📍 Wapi: Nafasi art space
🕒 Muda: saa 1 -4 usiku
Usikose hii shoo kali! 💥