
- This event has passed.
JAM SESSION & LIVE MUSIC
February 22 @ 7:00 pm
Free
@maalimnash x @amini_tz kwenye Lete Stori! 🔥🎶
Wasanii wawili wakali wakija na stori za nguvu! 🚀 Jiunge nasi Jumamosi, 22 Februari kuanzia saa 1 usiku kwenye jukwaa la Lete Stori, tukimsikiliza Nash MC & Amini wakichambua safari zao, muziki wao, na athari zao kwenye jamii. 🎶✨
📍 Mahali: Jukwaa la Lete Stori
🎟️ Kiingilio BURE! Pia, kutakuwa na vitafunwa vya bure! 🍿🎤
Usikose! Muziki. Mazungumzo na Mengineyo. 🎶🔥