- This event has passed.
LEARN 3D ART MASTERCLASS WITH DEVIN MARTIN
March 4, 2024 @ 10:00 am - 12:30 pm
FreeDive into the magical world of 3D Art with Disney pro digital artist Devin Martin! (@bigdevstudio / @fikiria3d)
Join our exclusive 3D masterclass series, covering everything from beginner basics to intermediate techniques and even 3D printing!
Don’t miss out – secure your spot now for just TZS 200,000/- per course.
04 March 2024 | Beginner’s Masterclass Starts.
10:00 am – 12:30 pm
Nafasi Art Space | 8 Eyasi St. Mikocheni B, Dar es salaam
Click the link in our bio for the registration form. For more info, contact us at +255 757 820 426.
_______
Ingia katika ulimwengu wa Sanaa ya kidijitali ya 3D na msanii wa nguli kutoka Disney, Devin Martin! (@bigdevstudio / @fikiria3d)
Jiunge na mfululizo wetu wa kipekee wa madarasa ya 3D, unaojumuisha kila kitu kuanzia misingi ya mwanzo hadi mbinu zaidi za 3D pamoja na utengenezaji wa vinyago/midoli ya 3D!
Usikose – jihakikishie nafasi yako sasa kwa TZS 200,000/- tu kwa kila kozi.
04 Machi 2024 | Darasa la Awali la 3D litaanza rasmi.
Saa 4:00 kamili asubuhi – Saa 6:30 Mchana
Nafasi Art Space | 8 Eyasi Mikocheni B, Dar es salaam
Jisajili mapema kupitia kiungo (link) katika wasifu wetu (Instagram bio)