
LETE STORI
April 25 @ 7:00 pm
Free
PARENTS ACROSS BORDERS! ✨🌍
A powerful duet by Tanzanian choreographer & dancer Tadhi Alawi and Burundian theater performer & playwright Laura Sheïlla Inangoma 🎭💃🏾.
This captivating performance fuses contemporary dance and poetic expression to delve into the depths of parenthood, multicultural family life, and identity 🏡🌏.
📅 Live at Nafasi Art Space – April 25, 2025 as part of LETE STORI 2025 🎟️🔥
🎭 Co-Production Features:
✨ Choreography: Tadhi Alawi
📝 Dramaturgy: @sheilla_inangoma
🎭 Performers: Laura Sheïlla Inangoma & Tadhi Alawi
🎶 Music: @sigermaxte
🎬 Production: Nantea Dance Company & Troupe Les Enfoirés de SaNoLaDante @nanteadance @les_enfoires_de__sanoladante
#ParentsAcrossTheBorders #NanteaDanceCompany #TroupeLesEnfoirésDeSaNoLaDante #DanceMeetsTheatre #LeteStori2025 #ArtAcrossBorders
⸻————————————————————————
🌍✨ PARENTS ACROSS BORDER✨🌍
Onyesho la kipekee kutoka kwa Tadhi Alawi, mnenguaji na mtunzi wa densi kutoka Tanzania, na Laura Sheïlla Inangoma, mwandishi wa michezo ya kuigiza na msanii wa tamthilia kutoka Burundi 🎭💃🏾.
Tamasha hili linachanganya densi ya kisasa na ushairi ili kuchunguza uzoefu wa wazazi, maisha ya kifamilia ya kitamaduni tofauti, na athari zake katika kutengeneza utambulisho wa msanii 🏡🌏.
📅 Itaoneshwa Mubashara Nafasi Art Space – Aprili 25, 2025 kama sehemu ya LETE STORI 2025 🎟️🔥
🎭 Wadau wa Uzalishaji:
✨ Mtunzi: Tadhi Alawi
📝 Dramaturgia: @sheilla_inangoma
🎭 Wasanii: Laura Sheïlla Inangoma & Tadhi Alawi
🎶 Muziki: @sigermaxte
🎬 Uzalishaji: Nantea Dance Company & Troupe Les Enfoirés de SaNoLaDante @nanteadance @les_enfoires_de__sanoladante
#WazaziMipakani #NanteaDanceCompany #TroupeLesEnfoirésDeSaNoLaDante #DensiNaTamthilia #LeteStori2025 #SanaaMipakani