- This event has passed.
LETE STORI
October 26, 2024 @ 7:00 pm
FreeJoin us for an unforgettable night at Lete Stori with none other than @kadilida__! Come listen to her incredible Singeli beats, ask your burning questions, and chill with the queen of Tanzanian electronic music. Let’s vibe, connect, and celebrate the raw energy of Singeli together! Don’t miss this chance to be part of the movement. See you there!
***************************************************
Jiunge nasi kwa usiku wa kipekee kwenye Lete Stori pamoja na Kadilida! Njoo usikilize midundo yake ya nguvu ya Singeli, uliza maswali yako na tucheze na malkia wa muziki wa kielektroniki wa Tanzania. Tupate vibe, tuungane, na tusherehekee nguvu ya Singeli kwa pamoja!
Usikose fursa hii ya kuwa sehemu ya harakati.
#nafasiartspace #LeteStori #KadilidaLive #SingeliVibes #MusicAndStories#swissdevcoop #letestori #zawose #swissembassytz #norwegianembassydar #dailogue #liveperformance #musiclover #pambe #singeli