- This event has passed.
Mapping So Far: Open Studio By Marguerite Minnot Thomas
November 28, 2023 @ 6:00 pm - 8:00 pm
FreeUsikose siku ya Jumanne ikiwa ni hitimisho la makazi ya muda mfupi ya msanii wa kupiga picha Marguerite Minnot Thomas (@margotmtmt) ambapo atakua ameanda matokeo ya taifiti yake yenye jina “ Mapping So far..”
Katika kipindi chake hapa NAFASI, msanii Marguerite ameendeleza utafiti wake wa kutengeneza ramani ya ushirikiano pamoja na baadhi ya wasanii na wabunifu wa kitanzania. Maonyesho yake yatahusisha kazi mpya za sanaa ya picha na kuchapa kwa karatasi, kazi ambazo zimeundwa na wasanii wenza wanaotafiti kuhusu utengenezaji wa ramani na mbinu mbalimbali za sauti. Bila kusahau utapata fursa ya kutengeneza ramani yako binafsi.
Usikose! Hakuna kiingilio
🗓️ 28 Novemba 2023
⏰ Saa 12 kamili Jioni
📍Nafasi Art Space | Mikocheni B, Mtaa wa Eyasi
Kwa mawasiliano
[email protected]
+255 757 820 426