OPEN CALL FOR VISUAL ARTISTS
January 6, 2026 @ 8:00 am - 5:00 pm

Wito kwa Wasanii wa Sanaa za Uoni umefunguliwa rasmi.
Kama unachora, unapaka rangi, nimfinyanzi, unapiga picha au hata kama bado hujui chochote lakini unashauku ya kujifunza, huu ndio muda wako. Hujasoma rasmi? hamna shida unakaribishwa. Umefunzwa? Pia sawa. Tunachotaka ni ari na moyo wa kujifunza.
Huu ni mwaka mzima wa mafunzo, unaoanza Februari 2026, umeundwa kukusukuma ukuwe na uendeleze ubunifu wako.
Tunachotazama ni kitu kimoja: moto wa kujifunza na kujitoa.
Mwisho wa kutuma maombi: 6 Januari 2026.
Nafasi ni chache sana.
Ukichelewa, umepotea. Tuma ombi sasa.
Watakaochaguliwa awali wataitwa kwenye usaili. Kutoka hapo ndipo uteuzi wa mwisho unafanyika.
Kiungo cha maombi kipo kwenye bio.
************************************************************
The Academy Call for Visual Artists is officially open.
If you paint, draw, sculpt, photograph—or you simply want to learn—this is your window. Total beginner? Fine. Trained artist? Also fine. We don’t care about your school papers. We care about your drive.
This is a year-long program starting February 2026, built to push your craft and expand how you think and make. What we look for is simple: passion and commitment.
Deadline: 6 January 2026.
Spots: extremely limited.
If you’re serious, don’t sit on it. Apply now.
Those who pass the first round will be invited to an interview. From there, the final selection is made.
Application link in bio.