Loading Events

  • This event has passed.

PAUKWA PAKAWA

July 14, 2023 @ 10:00 am - July 16, 2023 @ 2:00 pm

Free

Venue

NAFASI ART SPACE
Nafasi Art Space, Dar es salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0757820426
View Venue Website

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Start:
July 14, 2023 @ 10:00 am
End:
July 16, 2023 @ 2:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es salaam

Unakaribishwa katika Tamasha la filamu liitwalo Paukwa Pakawa linaloetwa na @univeso_film_lab , litakaloanza tarehe 14 – 16 Julai, 2023 kuanzia saa 04:00 asubuhi mpaka 02:00 usiku.

Kila siku kwa mfululizo wa siku tatu. Eneo laa makutano ni moja tu pale Nafasi Arts Space

Tamasha hili limejikita zaidi kwenye kuonesha filamu zinazohusu haki za binadamu hususani wannawake na watoto.

Hivyo basii kutakua na majadiiliano na warsha mbali mbali kutoka kwa waandaaji na watengenezaji wa filamu nchini.

Ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzio sio ya kukosa karibu sana.

Kwa Mawasiliaano zaidi
Piga namba +255 718 250 656