- This event has passed.
THE UNVEILING OF THE NEW AFRICAN TEXTILE PRINTS
August 2, 2024 @ 6:00 pm
FreeTuna furaha kutangaza onyesho la kazi za kipekee za Anthony Mwango! Kazi zake za sanaa ya uchapishaji zitakuwa zikionyeshwa hapa Nafasi Art Space. Usikose nafasi hii ya kuona ubunifu wa hali ya juu na uzuri wa sanaa za uchapishaji. Hii ni fursa adimu ya kushuhudia sanaa ikipata uhai na hadhira kubwa. Karibu wote!
****************************************************
We are happy to announce the showcase of the unique works of Anthony Mwango! His printmaking artworks will be on display here at Nafasi Art Space. Don’t miss this opportunity to witness the incredible beauty and creativity of printmaking art. This is a rare chance to see art come alive and reach out to the public.
@tony_digital1982
2/08/2024
6pm
Nafasi Art Space
#NafasiArtspace #AnthonyMwango #Showcase #VisualArt #creativejourneyopensubmission #printmaking #artworkshop #creativejourney #norwegianembassydar #swissdevcoop #swissembassytz #visualart #artisticendeavors