- This event has passed.
TRAVERSE: Safari Ya Kihostoria
May 24, 2024 @ 6:00 pm
FreeTRAVERSE: Safari Ya Kihostoria
Maonesho haya yanayofanyika Nafasi Art Space, ni safari ya kuangalia jinsi historia inavyobadilika na kuathiri maisha yetu. Wasanii wa Nafasi Academy wamechora picha zinazoonyesha namna watu na mitindo ya zamani ya Tanzania, na jinsi zinavyogusa hisia na kumbukumbu zetu.
Kupitia michoro hii, utaona jinsi sanaa inavyoweza kuangaza mwanga kwa watu na matukio muhimu katika sanaa yaliyopita, na jinsi historia inavyoendelea kuwa sehemu ya maisha yetu ya sasa na ya baadaye.
*******************************************
TRAVERSE: A Journey Through History
Explore the fluid currents of history through the vibrant and evocative works of Nafasi Academy artists. Discover how past Tanzanian artists, styles and collective memories shape our present and future.
May 24
6:00 PM
Nafasi Art Space