TUKUTANE DAR 2025!!
November 24 @ 8:00 am - November 30 @ 5:00 pm

-
-
TUKUTANE DAR 2025 – Cross Border Collaboration: For the Art Section Growth
📍 Dar es Salaam | 🗓️ 24-30 November 2025A powerful week of co-creation, collaboration, and cultural exchange through the arts!
Join us for:
🎭 Art showcases
🎶 Live music
🎥 Film screenings
💃 Dance performances
👗 Fashion shows
🧠 Workshops
🤝 Networking
🌍 Creative city toursTogether, we build a vibrant, inclusive, and resilient creative and cultural sector that crosses borders and connects communities.
🌐 Presented by @nafasiartspace
🤝 Supported by @norwayembassytz @swissembassyintz#TukutaneDar2025 | #ArtsWeek | #CrossBorderCollaboration | #CCI | #nafasiartspace | #swissembassyintz | #norwaytz | #film | #music | #fashion | #workshop | #showcase | #CoCreation | #Collaboration | #CulturalExchange
============================================
🎨✨ TUKUTANE DAR 2025 – Ushirikiano Unaovuka Mipaka kwa Ukuaji wa Sekta ya Sanaa
📍 Dar es Salaam | 🗓️24-30 Novemba 2025Wiki ya sanaa yenye nguvu ya ubunifu wa pamoja , ushirikiano , na kubadilishana tamaduni !
Jiunge nasi kwa:
🎭 Maonyesho ya sanaa
🎶 Muziki
🎥 Filamu
💃 Dansi
👗 Maonyesho ya mitindo (fashion show)
🧠 Warsha
🤝 Mitandao ya wasanii
🌍 Utalii wa ubunifu jijini Dar!Lengo ni kukuza sekta hai, shirikishi, na endelevu ya sanaa na utamaduni inayovuka mipaka na kuunganisha jamii.
🌐 Imeandaliwa na @nafasiartspace
🤝 Kwa udhamini wa @norwayintz @swissembassyintanzania#TukutaneDar2025 | #Sanaa | #Ushirikiano | #CCI | #nafasiartspace | #swissembassyintz | #norwaytz | #film | #music | #fashion | #workshop | #showcase | #CoCreation | #Collaboration | #CulturalExchange