
- This event has passed.
TUKUTANE NAFASI – LETE STORI
February 24, 2024 @ 7:00 pm
Free
VOTE FOR THE NEXT LETE STORI ARTIST.
As we are gearing towards our upcoming Lete Stori Event this February! We are excited to give you a remarkable opportunity to vote for two(2) artists (as listed in the poster) to be featured in this February edition of Lete Stori .
Simply check out the list and select between artist A,B,C & D and send us your choice via our Instagram comment section.
A – Juma Nature @sir_nature (Bongo Flavor)
B – K Zungu @kzunguslavench (Singeli)
C – Bizz Man @bizmanntavyo ( Bongo Flavor)
D – Wamwiduka @wamwiduka (Traditional Music)
Please vote before Sunday 18th February 2023 00:00 Hrs EAT. May the voting begin ⏳
_________________________________________
PIGA KURA KUCHAGUA MSANII ANAYEFUATA KATIKA JUKWAA LA LETE STORI.
Tukiwa tunaelekea katika kipindi kingine cha Lete Stori kinachokujia mwezi huu wa Februari, tunayo furaha kukushirikisha katika uteuzi wa wasanii wawili watakaoshiriki katika jukwaa hili mwezi huu.
Chagua msanii miongoni mwa orodha ya wasanii hapo juu kwa kutuma herufi A, B, C au D katika sehemu ya comments hapa Instagram.
A – Juma Nature @sir_nature (Bongo Fleva)
B – K Zungu @kzunguslavench (Singeli)
C – Bizz Man @bizmanntavyo ( Bongo Fleva)
D – Wamwiduka @wamwiduka (Muziki wa Asili)
Tafadhali piga kura yako kufikia tarehe 18 Februari 2024, Saa Sita kamili Usiku kwa saa za Afrika Mashariki