
VIDEO LAUNCH
August 21 @ 6:00 pm
Free
Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo “Tunatokaje Hapa”, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space!
Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki – kazi yenye ujumbe, hisia, na harakati.
Usikose kuwa sehemu ya uzinduzi huu wa kihistoria ambapo muziki unakuwa chombo cha mabadiliko!
💡 Project hii umeandaliwa na @nafasiartspace kwa ushirikiano na @tanzaniaborainitiative na @eastafricaradio, kwa udhamini wa Umoja wa Ulaya 🇪🇺 @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest
⸻—————————————————————————————
🎬 Mziki na Maarifa presents the official launch of @its_gloria_m’s new music video titled “Tunatokaje Hapa”, happening on Thursday, 21st August 2025 at 6:00PM at Nafasi Art Space!
@its_gloria_m, the third-place winner of the Mziki na Maarifa competition, will premiere her powerful and expressive video — a creative reflection on society, transformation, and resilience through music.
Be part of this special moment where music becomes a tool for change!
💡 This project is brought to you by @nafasiartspace in collaboration with @tanzaniaborainitiative and @eastafricaradio, with support from the European Union 🇪🇺 @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest