- This event has passed.
WAKATI WETU EXHIBITION
November 1, 2024 @ 6:30 pm
FreeTunayo furaha kuwakaribisha kwenye maonyesho ya kipekee ya michoro kutoka kwa @minzimims, kupitia mradi wake unaoangazia sanaa na wanawake. Usikose kujumuika nasi!
Tarehe: 01/11/2024
Muda: 18:30
Sehemu: Nafasi Art Space
***********
We’re excited to welcome you to a special art exhibition by @minzimims, featuring her inspiring project focusing on art and women. Don’t miss out on this opportunity to connect and celebrate!
Date: 01/11/2024
Time: 6:30 pm
Venue: Nafasi Art Space