- This event has passed.
WHAT’S UP WITH WHATSAPP WORKSHOP
October 24 @ 2:00 pm - 4:00 pm
Free
WHATβS UP WITH WHATSAPP? β¨
Umewahi kufikiria jinsi WhatsApp imebadilisha mawasiliano na ubunifu wetu? ππ±
Karibu kwenye warsha maalum na MUGABI BYENKYA π
π
Ijumaa,24 Oktoba
π Saa 8:00 mchana β 10:00 jioni
π Nafasi Art Space
Warsha hii itachunguza hadithi na ushirikiano katika fani mbalimbali za sanaa waandishi, watengenezaji filamu, wachoraji, wanamuziki na wengine wote mje! π¨ππΆ
π₯ Hakuna Kiingilio
π€ Usikose!
π Jisajili hapa / Register here
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSe5mYTO9cb2lIuqZP0jf4psHCl8v9-HTFrsLysnr-kcusGGew/viewform?usp=pp_url