- This event has passed.
WIKIENDI LIVE
September 27, 2024 - September 28, 2024
FreeNafasi Art Space inakualika kuhudhuria tamasha letu kubwa la kila (@wikiendilive), Wikiendi Live litakalofanyika tarehe 27 & 28 septemba, ni fursa ya kuona wasanii bora wa muziki wakitumbuiza kwenye jukwaa letu. Wotemnakaribishwa