
- This event has passed.
WIKIENDI LIVE – CALL FOR ARTIST
April 12, 2024
Free
Wanamuziki mambo vipi!
Nafasi Art Space, kupitia Tamasha lake kubwa la kila mwaka linalofahamika kama Wikiendi Live (@wikiendilive) inatangaza wito wa wazi kwa wasanii wa tasnia ya muziki nchini Tanzania.
Pata fursa ya kutumbuiza katika jukwaa kubwa la @wikiendilive litakalofanyika tarehe 27 na 28 Septemba 2024.
Tuma maombi kupitia kiungo (Link) iliyo katika Bio yetu ya Instagram. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12 Aprili 2024.
Kwa mawasiliano zaidi: +255 757 820 426 | [email protected]
____________________________________
Calling all musicians around Tanzania! Mambo vipi?
Nafasi Art Space, via its biggest yearly festival famously known as Wikiendi Live (@wikiendilive) is delighted to announce the official open call for artists to participate in this year’s edition of the festival.
Are you a musician/work in the music industry? Get a chance to showcase/perform in this big platform from Nafasi Art Space that shall take place on 27 and 28 September 2024.
Apply through Link on our Bio. Deadline of receiving applications is 12 April 2024.
Contact us: +255 757 820 426 | [email protected]