ZAMA – STEPS THAT LEFT A MARK EXHIBITION
May 22 @ 6:00 pm

We are honored to invite you to Nafasi Art Space for an inspiring exhibition:
ZAMA: “Steps That Left a Mark”
This exhibition brings together diverse artistic expressions across different mediums, exploring the history and journeys that have shaped our country. Through powerful visuals and storytelling, ZAMA reflects on the past while connecting it to the present.
📍 Location: Nafasi Art Space
📅 Date: 22nd May 2026
⏰ Time: 6:00 PM – 9:00 PM
Don’t miss this opportunity to connect, learn, and explore.
_______________________________________________________________________________________________
Tunayo furaha kukualika katika maonyesho ya kipekee yatakayofanyika Nafasi Art Space:
ZAMA: “Hatua Zilizoacha Alama”
Maonyesho haya yanakusanya kazi za sanaa kutoka mitindo na mbinu mbalimbali, zikielezea historia na safari iliyoiunda nchi yetu. Kupitia sanaa, ZAMA inatafakari yaliyopita huku ikiunganisha na wakati wa sasa.
📍 Mahali: Nafasi Art Space
📅 Tarehe: 22 Mei 2026
⏰ Muda: Saa 12 jioni – Saa 3 usiku
Usikose nafasi hii ya kuungana, kujifunza na kugundua.