CYANOTYPE WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam
Free

ARTIST HANGOUT FT CAMERON MITCHELL

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Jiunge nasi kwa hangout maalum na Cameron L. Mitchell hapa Nafasi Art Space! Hii ni fursa nzuri ya kukutana na msanii, kupiga naye story, na kupata msukumo kutoka kwa safari yake ya ubunifu. Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuungana na Cameron. Tukutane hapo! ************************************************** Join us for a special hangout with Cameron L. Mitchell […]

Free

ETHEREAL ENCOUNTERS

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

“Ethereal Encounters” ni kuhusu kugundua uzuri katika sehemu zisizotarajiwa. Unaweza kuona uzuri kwenye jani linalocheza kwenye mwanga wa jua, kwenye utulivu wa jengo lililotelekezwa, au mtu anayesimama pekeyake kwenye mandhari kubwa. Wasanii kwenye maonyesho haya watatuonyesha picha hizi za uzuri kwa kutumia picha nyeusi na nyeupe. Kwa mwanga na kivuli, umbo na mguso, watawakaribisha watazamaji […]

Free

OPEN CALL – POERTY WORKSHOP

Washairi, wasanii na wadau wote wa sanaa ya Ushairi Nafasi Art Space kwa kupitia msanii wetu wa makazi ya muda mfupi cameroon Mitchell kutoka Marekani huyu msanii amaefanya kazi na makampuni makubwa huko marekani hakika ujuzi na umahiri wake sio wakukosa. Jiunge na warsha ya ushairi kwa kujaza form inayopatikana kwenye LinkTree hapo juu kwenye […]

Free

END OF RESIDENCY SHOWCASE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Jumamosi hii ya tarehe 6 tutakuwa na wakali wa mziki wa Asili wakimaliza makazi yao ya muda mfupi Wamwiduka Band wakitumbuiza bila kusahau wanamashairi kutoka Marekani wataonyesha ushairi na Jam session haya yote ba mengine mengi hii jumamaosi sio yakukosa

Free

ARTIST HANGOUT

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Botanical Prints Workshop at Nafasi Art Space Overview: Botanical printing, also known as ecoprinting, is a unique and unpredictable process that varies with the seasons. In this workshop, participants will learn to print leaves and flowers on fabric and paper. The process involves pre-processing the fabric and paper, then boiling or steaming them at 100 […]

Free

BOTANICAL PRINTS WORKSHOP

SANCTUARIES – NAFASI ACADEMY’S EXHIBITION

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Discover the essence of home through the Nafasi Academy’s latest exhibition, ‘Sanctuaries.’  Each piece tells a story of comfort, belonging, and the unique spaces we call our own. Join us next week to explore what ‘home’ means to these incredible artists. #sanctuariesexhibition #artexhibition #HomeIsWhereTheArtIs#swissdevcoop #swissembassytz #norwegianembassydar #visualart ****************** While the visual Arts prepare for us […]

Free

TUKUTANE NAFASI

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Discover the essence of home through the Nafasi Academy’s latest exhibition, ‘Sanctuaries.’  Each piece tells a story of comfort, belonging, and the unique spaces we call our own. Join us next week to explore what ‘home’ means to these incredible artists. While the visual Arts prepare for us a moving exhibition, we will be having […]

Free

A SCREEN -PRINTING WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Jiunge nasi kwenye warsha yetu ambapo tutatumia mbinu ya stippling kuunda michoro ya kipekee kwa ajili ya kuchapisha kwenye kitambaa/khanga. Buni michoro yako mwenyewe iliyotoa na Kanga na uipe jina lako! ************************************************** Join us in our workshop where we use stippling to create unique motifs for screen printing on fabric. Design your own patterns inspired […]

Free

TATOO – CALL FOR ARTISTS

DINEMBO project aims to empower tattoo artists in Tanzania by providing them with an in-depth understanding of the history and creativity of this art form in Tanzania and Africa as a whole. Through a series of workshops culminating to a two-day public event on modern tattoo art, this project is creating a unique pathway to […]

Free

ARTIST HANGOUT

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Don’t Miss Artist Hangout at Nafasi Art Space with Ala Praxis’s own @josh_egesi who will be joins the community. Come find out all about the Artist and the project loading.   02/07/2024 4pm Nafasi Art Space   #nafasiartspace #norwegianembassydar #workshop #swissdevcoop #swissembassytz #startseu #printmaking #alapraxis #joshegesi #visualart

Free