THE UNVEILING OF THE NEW AFRICAN TEXTILE PRINTS
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamTuna furaha kutangaza onyesho la kazi za kipekee za Anthony Mwango! Kazi zake za sanaa ya uchapishaji zitakuwa zikionyeshwa hapa Nafasi Art Space. Usikose nafasi hii ya kuona ubunifu wa hali ya juu na uzuri wa sanaa za uchapishaji. Hii ni fursa adimu ya kushuhudia sanaa ikipata uhai na hadhira kubwa. Karibu wote! **************************************************** We […]