PAUKWA PAKAWA
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamUnakaribishwa katika Tamasha la filamu liitwalo Paukwa Pakawa linaloetwa na @univeso_film_lab , litakaloanza tarehe 14 - 16 Julai, 2023 kuanzia saa 04:00 asubuhi mpaka 02:00 usiku. Kila siku kwa mfululizo wa siku tatu. Eneo laa makutano ni moja tu pale Nafasi Arts Space Tamasha hili limejikita zaidi kwenye kuonesha filamu zinazohusu haki za binadamu hususani wannawake na watoto. […]